trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,453
- 10,818
Hujaona mkuu kaniita niende chobingo etiDuuuh yaan wewe bomdeni ?
Hujaona mkuu kaniita niende chobingo etiDuuuh yaan wewe bomdeni ?
Kwa hio mlikua chobx mnafanya yenuHujaona mkuu kaniita niende chobingo eti
Hivyo vizuri mkuu lindo hili mpaka kunakucha no sleeping,Nipo mkuu nimejaa tele
Missing you kiasi chake hivi yule msumbufu wako yuko wapi yule y34b12 sijuiNiaje😀😀
I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
Yeah.. Sio mbaya kuwa wa tofauti sometimes.. 😀😀😀Yaan jamàa ni disliker wa Jf ye kila comment anadialike tu
Utofauti wa kudislike na hapo ni baada ya kumwambia nakuchukua MimiYeah.. Sio mbaya kuwa wa tofauti sometimes.. 😀😀😀
Kama ulimwambia unamchukua lazma adislike..😀😀😀😀Utofauti wa kudislike na hapo ni baada ya kumwambia nakuchukua Mimi
Nilimwambia wewe nakuchukua aache kuukupigia misele ,😄Kama ulimwambia unamchukua lazma adislike..😀😀😀😀
Hata usingemwambia pia angefanya hivyo...
Ndo maana kuna makundi maalum katika jamii😂😂😂
Ohoooo... Basi pole ndugu😂😂😂Nilimwambia wewe nakuchukua aache kuukupigia misele ,😄
Pole mpe yeye 😃Ohoooo... Basi pole ndugu😂😂😂
Nakupa wewe unaedhani ye anapiga misele😀😀...Pole mpe yeye 😃
Sijaenda nimeogopa...bora nibaki hapa hapa lindoni tuuKwa hio mlikua chobx mnafanya yenu
Hzi sifa kanuni ni bao mbili ukilala nayo tatuNagonga cha 5!