Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,743
- 6,283
Haya tukeshee😂😂Leo dalili zote za kukesha ninazo
Haya tukeshee😂😂Leo dalili zote za kukesha ninazo
Niko poa my wangu😀😀😀Nini shida jamani 😢😢😢😢 mbona upo off mode hivyo mommy, nini shida 😨😣
Ewaaah, hayo ndo maneno, vifaranga vyangu vinaendeleaje rafiki ☺️☺️☺️☺️☺️☺️Niko poa my wangu😀😀😀
Viko byee.. 👌Ewaaah, hayo ndo maneno, vifaranga vyangu vinaendeleaje rafiki ☺️☺️☺️☺️☺️☺️
🤗🤗😆
Ewaaah, sawasawa, za kwako lakini umepoteatea hivi majuzi, ☺️☺️😁😁Viko byee.. 👌
Ah wap mi nipo bhn😂😂Ewaaah, sawasawa, za kwako lakini umepoteatea hivi majuzi, ☺️☺️😁😁
Au majukumu
Mmmh sio kama zamani bana, ila sawa auntiee 😅😁😁Ah wap mi nipo bhn😂😂
Sikuhizi watu wanaoga mambo yamepungua kidogo😂😂Mmmh sio kama zamani bana, ila sawa auntiee 😅😁😁
Umenianza tena kaone kwanza na mashavu yako, 😏Sikuhizi watu wanaoga mambo yamepungua kidogo😂😂
Mi mesema tuuu😂😂Umenianza tena kaone kwanza na mashavu yako, 😏
Sema we auntiee umejuaje kuhusu spring eti, 🤔🤔 kwenye javaSikuhizi watu wanaoga mambo yamepungua kidogo😂😂
dada samahani iyo picha kwenye profile ni wewe ?Sikuhizi watu wanaoga mambo yamepungua kidogo😂😂
Bila samahani mkuu.. Hapana sio mie ni picha tu io😀😀dada samahani iyo picha kwenye profile ni wewe ?
Daaah 😅😅😅😅Bila samahani mkuu.. Hapana sio mie ni picha tu io😀😀
Vipii weye? 😂 😂 😂Daaah 😅😅😅😅
Haya bana, hata mimi naona sio ww umei download tu 🤣🤣Vipii weye? 😂 😂 😂
Haahahh asa kumbe ni aje😀😀😀Haya bana, hata mimi naona sio ww umei download tu 🤣🤣