Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,336
- 96,610
Over Dem all
Over Dem all
Over Dem all
Over Dem all
Over Dem all
Soma kotabu, au angalia kovieUsingizi umekata
Mi Niko kwetuuu, nipo kwa ajili ya holiday🤗01:40 naingia lindo rasmi
Tutakua wote nipe Stori01:40 naingia lindo rasmi
Iam singlee,Jamani hivi kushika uchumba hua n shingap
Mkuu zero zero zero, ushaiona??Usingizi hamna ni mwendo wa kubadir episodes tu
Hiyo ni serie moja Kali kinyama 🔥🔥.What's that???
Mkuu Nina mzigo was series na movie mpaka najiogopaaa😂😂Ushawahi kua na series & muvi nyingii hadi hujui utazame ipi😅 na muda hauruhusu
Msitutishe sie😀😀Mkuu Nina mzigo was series na movie mpaka najiogopaaa😂😂
Sasa holiday si ndio ilitakiwa ulale vya kutosha rafiki yangu ufidie siku zote?Mi Niko kwetuuu, nipo kwa ajili ya holiday![]()
Lindo hili nazurura tuu jukwaa moja hadi lingine. Jibu la hapo chini kishika uchumba nahisi kinatofautiana kwani si ndio ile hela inawekwa kwenye barua ya posa??Tutakua wote nipe Stori
I mean no malice to nobody 😂😂, hobby zangu. 👉MisosiMsitutishe sie😀😀
Better call Saul ninayoo season zote, bro hiyo zero zero ni next levelSeries ikiwa inahusu drugs basi naipotezea.... BB, Better Call Saul, Narcos Pablo Escobar ndio niliweza kuziangalia tu