YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mmmh, ndo maana upogo busy umekuwa adimu sana humu waambie ankoli wao anawasalimia, jamani 🤗🤗🤗😘😘Hawajambo kabisaaa dear😂😂😂
Mmmh, ndo maana upogo busy umekuwa adimu sana humu waambie ankoli wao anawasalimia, jamani 🤗🤗🤗😘😘Hawajambo kabisaaa dear😂😂😂
😅😅😅😅😅 Daaah natamanije niwaone asee tena vitakuwa vizuri na uhakika kama mama yao tu 😆😆😆Subiri tuu siku nikuletee mmoja ukeshe nae huko ankolii😂😂😂
Nitaleta huyu wakiume.. Maana hawa wakike mmoja ni kivuruge balaa... ila tafadhal usimfundishe kuacha kuoga😀😀😀😅😅😅😅😅 Daaah natamanije niwaone asee tena vitakuwa vizuri na uhakika kama mama yao tu 😆😆😆
😂😂😂😂Ni vichinaa like😂😂😂huez amin😅😅😅😅😅 Daaah natamanije niwaone asee tena vitakuwa vizuri na uhakika kama mama yao tu 😆😆😆
Umeanza tena kaone kwanza na mimacho yako, sikuizi naogaga mkuuNitaleta huyu wakiume.. Maana hawa wakike mmoja ni kivuruge balaa... ila tafadhal usimfundishe kuacha kuoga😀😀😀
Akiii asee vichina tena, ulizaa na mchina kwani 🙄🙄🙄 au ilikuwaje😂😂😂😂Ni vichinaa like😂😂😂huez amin
I dont know how my products could look that way😀😀😀😀but tunafanana...Akiii asee vichina tena, ulizaa na mchina kwani 🙄🙄🙄 au ilikuwaje
Daaah asee noma sana, sema auntiee unajua biology asee hayo ma Rh factor kuna jukwaa niliona unatiririka balaa 😀😀😀😀 we ni doctor nn 🙃🙃I dont know how my products could look that way😀😀😀😀
Itakua umekosea😀😀😀Daaah asee noma sana, sema auntiee unajua biology asee hayo ma Rh factor kuna jukwaa niliona unatiririka balaa 😀😀😀😀 we ni doctor nn 🙃🙃
Ningekuletea ushahidi sema hayo ma screenshot nishayafuta 😃😃😃Itakua umekosea😀😀😀
S poa mkuu[emoji1647][emoji235]
View attachment 2623347
Umenikumbusha mbali sana mkuu 🐁🐁🐁🐰