Busara hiiAcha tuuu.. Ninyamaze😂😂😂 upendo wake usije kufa bure ye34nbe
Kwan kuna shida mkuu, kukuconfuse ndo napenda😂😂😂Ya Leo na ya Jana ni tofauti afu we si nilikuona pale ?
Sawa mkuu Ila halahala hapo kwenye kupenda hapo mkuuKwan kuna shida mkuu, kukuconfuse ndo napenda😂😂😂
Yaan umeongea na simu na simu ikasemaje baada ya kuongea nayo ilikujibu nini ?Nimetoka kuongea na cm muda c mrefu usingzi wte umekata na niko mwenyewe
We acha tu kiswahili hkiYaan umeongea na simu na simu ikasemaje baada ya kuongea nayo ilikujibu nini ?
Natamba ndio nimempata mahabuba wangu 😅😅😅😅😅 daaah vitu vingine mpaka uvi experience ndo utajua utamu wakeKwaiyo unatamba au sio
Natamba ndio mkuuu, baby wangu mtamuUnatamba
Ww auntie tuheshimiane ww nani kakuambia niko single, weee chezea huba ww, utakuwa kichaaaUpo single bado unalia na mapenz.. 😂😂😂 Wonders shall never end
Muheshimu bby wangu mkuu, atanisindikiza maisha yangu yote,Huwezi jua lbda yuko na wa kumsindikiza usiku wa leo
Umeanza tena maneno yako, muone kwanza mashavu kaa ndiziUyo anasindikizwaga na nanliu mkuu😂😂😂😂
Hahah na iwe hvyo mkuuMuheshimu bby wangu mkuu, atanidindikiza maisha yangu yote,
Kutumix tena au sijaelewa vizuriSasa si unaona sasa unataka kutumix