YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Sichelewi nn tena 😆🤔Ahaaa vizuri.. Maana hauchelewi 😀😀😀
Sichelewi nn tena 😆🤔Ahaaa vizuri.. Maana hauchelewi 😀😀😀
Afu sasa ndo unatakiwa uamke uende kwenye majukumu[emoji23] inaboa...Ni kupambana tu, na kuelekea Alfajir baridi huwa linafika kwenye peak[emoji1787][emoji1787]
Lete stori angalau tusogeze masaa....nimeshakaribia mkuu
Tunawalaumu bure tu walinzi, na kibaridi hiki ukipata chocho la kupashia joto....unatelekeza Tu Lindo🤣🤣 maelezo tutatoa asubuhi.Hapa ndo utaona umuhimu wa Morning glory 😂😂😂😂
Bro hujalala kesho itakua ndefu kwako[emoji23]Sichelewi nn tena [emoji38][emoji848]
Walinzi wote ninaowajua wanavuta sigara[emoji23]Tunawalaumu bure tu walinzi, na kibaridi hiki ukipata chocho la kupashia joto....unatelekeza Tu Lindo[emoji1787][emoji1787] maelezo tutatoa asubuhi.
Mi ratiba zangu hazini ruhusu nilale usiku mkuu nalalaga saa 1 asb mpaka saa 7 😁😁😁.Bro hujalala kesho itakua ndefu kwako[emoji23]
Na wakipata vimchepuko karibu na Lindo hawalazi damu🤣🤣🤣.....utasikia Yule mlinzi hakaagi Lindo usiku kuchaaa🤣Walinzi wote ninaowajua wanavuta sigara[emoji23]
Kila mtu skuizi ana mwanasheria[emoji23][emoji23]Mwanasheria wangu pia hayupo.. Hapa ninyamaze tuu[emoji3][emoji3]
Aisee we muhuni sana[emoji23]Mi ratiba zangu hazini ruhusu nilale usiku mkuu nalalaga saa 1 asb mpaka saa 7 [emoji16][emoji16][emoji16].
Si unajua sijaajiriwa mimi [emoji2][emoji2][emoji2]
Aisee[emoji23] si bora ufuge tu mbwa yaishe....Na wakipata vimchepuko karibu na Lindo hawalazi damu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].....utasikia Yule mlinzi hakaagi Lindo usiku kuchaaa[emoji1787]
🤣🤣🤣 Sa mbwa atakufungulia geti asubuhi na kukabidhi Lindo?Aisee[emoji23] si bora ufuge tu mbwa yaishe....
Unavojua kazi ya sigara tena mwilini😂😂😂Walinzi wote ninaowajua wanavuta sigara[emoji23]
Mwizi akija na mlinzi yuko kwa mchepuko?? Si nakufa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sa mbwa atakufungulia geti asubuhi na kukabidhi Lindo?
Eehh maendeleo chilonda😂😂😂Kila mtu skuizi ana mwanasheria[emoji23][emoji23]
Sigara, pombe kali ndo mambo yao...Unavojua kazi ya sigara tena mwilini[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutoa siri za kambi mkuu😂😂😂Sigara, pombe kali ndo mambo yao...
Wengi wanaingia kazini na mashuka kabisa ya kujifunikia[emoji23]
Kuoga😃Sichelewi nn tena 😆🤔
Huezi jua labda kuna mlinzi humu huu ushauri ukamsaidia[emoji23]Acha kutoa siri za kambi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
😯🤫🤫🤫🤫🤫🤫Kuoga😃