mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
Ni stress za mapenzi??Me nina stress nyingi usingizi hamna
Ni stress za mapenzi??Me nina stress nyingi usingizi hamna
Karibu lindo[emoji23]3:16
Nishakaribia, ngoja tusogeze dakika pakuche.Karibu lindo[emoji23]
Za huko??Nishakaribia, ngoja tusogeze dakika pakuche.
Huku poa, mlinzi mpya napambana na lindo hapa...vipi weweZa huko??
Yeap.. Intel Poor Brain Darlin Mr kenice analea😀 Kanali G muda wake badoo😂.. Half american sijajua kama alielewana na Unique Flower 😀 Bantu Lady na To yeye sina taarifa zao, Tayukwa kapotea na usiku mnene😀, stow away Grahams Santos06 ,ye34nbe b_boy Mjep trudie torvic Binkcarter fyddell sinyaghile yaani leo ni balaaaaDodgers wa lindo??![]()
Mambo mengi, mda mchache.... Kwa sasa changamoto kubwa ni hii baridi[emoji23]Huku poa, mlinzi mpya napambana na lindo hapa...vipi wewe
Acha kabisa, hii baridi sio....unaweza kutelekeza Lindo ukajikunje sehemu🤣🤣🤣Mambo mengi, mda mchache.... Kwa sasa changamoto kubwa ni hii baridi[emoji23]
Majukumu mbalimbali yamewakaba[emoji23] wengine utakuta wako busy wanachepuka saizi[emoji23]Yeap.. Intel Poor Brain Darlin Mr kenice analea[emoji3] Kanali G muda wake badoo[emoji23].. Half american sijajua kama alielewana na Unique Flower [emoji3] Bantu Lady na To yeye sina taarifa zao, Tayukwa kapotea na usiku mnene[emoji3], Grahams Santos06 ,ye34nbe b_boy Mjep trudie torvic Binkcarter fyddell sinyaghile yaani leo ni balaaaa
Huku mbeya ni hatari mkuu[emoji23]Acha kabisa, hii baridi sio....unaweza kutelekeza Lindo ukajikunje sehemu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu lindo mkuu3:30
Nipo hapa auntie ☺️☺️☺️🤗🤗🤗🤗🤗🤗Yeap.. Intel Poor Brain Darlin Mr kenice analea😀 Kanali G muda wake badoo😂.. Half american sijajua kama alielewana na Unique Flower 😀 Bantu Lady na To yeye sina taarifa zao, Tayukwa kapotea na usiku mnene😀, stow away Grahams Santos06 ,ye34nbe b_boy Mjep trudie torvic Binkcarter fyddell sinyaghile yaani leo ni balaaaa
Mwanasheria wangu pia hayupo.. Hapa ninyamaze tuu😀😀Majukumu mbalimbali yamewakaba[emoji23] wengine utakuta wako busy wanachepuka saizi[emoji23]
Ni kupambana tu, na kuelekea Alfajir baridi huwa linafika kwenye peak🤣🤣Huku mbeya ni hatari mkuu[emoji23]
nimeshakaribia mkuuKaribu lindo mkuu
Ahaaa vizuri.. Maana hauchelewi 😀😀😀Nipo hapa auntie ☺️☺️☺️🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Nawa zoom tu 😁
Hapa ndo utaona umuhimu wa Morning glory 😂😂😂😂Ni kupambana tu, na kuelekea Alfajir baridi huwa linafika kwenye peak🤣🤣
Mwanasheria yupo vacation na hapokei simu🤣🤣🤣 jichanganye uone🤣Mwanasheria wangu pia hayupo.. Hapa ninyamaze tuu😀😀