00:41Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Eeh kabisa kabisaHii ndio maana halisi ya Noma kinoma Noma
Nakukubari aseee itabidi tufanye corroboration au unasemaje ?Eeh kabisa kabisa
Mzee upo serious kwenye hii forum kweli tangu Feb 2, 2019 ndio Leo ni comment yako ya kwanza kweli upo serious ?00:41
Collaboration ya nin tena man?Nakukubari aseee itabidi tufanye corroboration au unasemaje ?
Eeewa hivyo hivyo collaboration ya ulinzi wa JfCollaboration ya nin tena man?
Aah sawa mim hyo kazi sitak kabisaEeewa hivyo hivyo collaboration ya ulinzi wa Jf
Lovelovie naomba namba ya National Anthem maana niliyonayo haipatikani 🙏🙏Aah sawa mim hyo kazi sitak kabisa
National Anthem sa hiv usiku usiku kuna nin?Lovelovie naomba namba ya National Anthem maana niliyonayo haipatikani 🙏🙏
Nime kupm, chekiNational Anthem sa hiv usiku usiku kuna nin?
Lovelovie it is absolutely important 🙏🙏National Anthem sa hiv usiku usiku kuna nin?
Elfu 7 jamaa wanafanya yao ?1;31
WALINZI wenzangu bado mko macho?
Mwenzenu kijiwe changu hua nakikodisha kwa machangudoa kwa buku buku hapa Mbezi Luis. Leo wakware si Haba, mpaka Sasa Nina elfu saba.
Nimekumisi ww auntie mpaka nasikia kufa nn mbaya mbona uso haupo sawaTupo tuu..., 😔
1;31
WALINZI wenzangu bado mko macho?
Mwenzenu kijiwe changu hua nakikodisha kwa machangudoa kwa buku buku hapa Mbezi Luis. Leo wakware si Haba, mpaka Sasa Nina elfu saba.
Tupo tuu..., 😔 japokua majonz kibao team haija kamilika @intel