Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
2:15
02:15Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
.Kula daku, usile nyapu
02:14
😅😅😅Kula daku, usile nyapu
02:14
Msukule huo unakuitaNikilala naota,naota Kama unaniita
05:12
CText you copy will automatically show herePin copied text snippets to stop them expiring after 1 hourPin copied text snippets to stop them expiring after 1 hourPin copied text snippets to stop them expiring after 1 hourSlide clipboard items to delete themWakeshaji tupo wengi.
Chama Cha wezi for everybody 😁😆, I mean no malice to nobody