Utaelewa tuu😂04:31
Anasema hazana ya kwanza ya pili saa11 wakati saa 03:30 kapiga hazana sielewi aisee
Nmesinzia nikaona naanza kuota nakimbizwa nikasema isiwe tabu nikaamka nikae macho tu Nani anapenda kukimbizanaUsername tena hii kali sasa

Oooooza best time ever tena na mama Glory 💫💥🌟✨Mida ya morning Glory hii
leo umepata morning glory?Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!