Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,583
Yaan 0359Wanaandika in 24 hours formatsi hainaga vimulimuli😂
Yaan 0359Wanaandika in 24 hours formatsi hainaga vimulimuli😂
Yeah.. 12 hours format ndo ina vimulimuli mkuu.. Kwa uelewa wangu wa la 7 c..Yaan 0359
Saa 2 na dakika 58 usiku unaandikaje kwa 24 hrs nioneYeah.. 12 hours format ndo ina vimulimuli mkuu.. Kwa uelewa wangu wa la 7 c..
0258😂Saa 2 na dakika 58 usiku unaandikaje kwa 24 hrs nione
Sasa anaeamdika 0858 anamaanisha nini saa 2 usiku hio0258😂
Io ni saa mbili usiku au saa nane? Kama saa mbili in 24 hours itakua ni 2058 mkuu😂Saa 2 na dakika 58 usiku unaandikaje kwa 24 hrs nione
Io ni saa mbili dk 58 asubuhiSasa anaeamdika 0858 anamaanisha nini saa 2 usiku hio
Nimesema mbili sio name 😆Io ni saa mbili usiku au saa nane? Kama saa mbili in 24 hours itakua ni 2058 mkuu😂
Jamaa kasaini be usiku alafu hivi 0858 yaan km namba za simuIo ni saa mbili dk 58 asubuhi
Saa mbili dk 58in 24 hours ni 2058,Nimesema mbili sio name 😆
Labda ni username yake😀Jamaa kasaini be usiku alafu hivi 0858 yaan km namba za simu
Username tena hii kali sasaLabda ni username yake😀
Ehh inawezekana nikajiita 2208😂Username tena hii kali sasa
YupoKuna mtu anasoma novels humu?