JamiiForums Usiku wa manane
Kwanin au unaona na wewe unachinjwa?

Sipendi kuona damu naona kama kichwa kinaniuma ivi ivyo tu tangu utotoni naogopa damu nilijikaza siku mmoja nilienda ukweni wakachinja mbuzi mm nikamshika sikulala usiku nilikua mastuka stuka na kichwa kuuma
 
Samahani mkuu, ila sidhani Kama wote twapenda kuona tupu za wengine. Ukizingatia tuko tafauti 👉 ki umri, 👉 mpaka kiakili. 👉 Quaresma na ramadhan ndo hizii
Based on title, mkuu pumzika tu. Uaiku huu unategemea kuona nn hasa? Daku or?
Nitangulize samahani
 
Back
Top Bottom