JamiiForums Usiku wa manane
Yeah dogo alikua na matatizo ya seizures,pia ukiwa na matatizo hsyo afu ukawa na uzito uliopitiliza na ukikaa sehemu ambayo haina hewa ya kutosha,kutopumzika vya kutosha au ukitumia vilevi vingi ni rahisi kupata heart attack.
Aisee kumbe ni hatari kiasi hicho, na madawa si ajabu alikua anatumia na hali yake hiyo.
 
Back
Top Bottom