Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,743
- 6,283
Unatakiwa ujue kupika sii kusaidiwa kupika😂😂😂Mkuu mi nipo singoo ila sikosi marafiki wa kunisaidia kupika, au nasonga ugali kill sikuu
Unatakiwa ujue kupika sii kusaidiwa kupika😂😂😂Mkuu mi nipo singoo ila sikosi marafiki wa kunisaidia kupika, au nasonga ugali kill sikuu
Ndo Mana nasonga ugali kilo moja wa peke angu tu, au mchele kg 2Unatakiwa ujue kupika sii kusaidiwa kupika😂😂😂
Ugali kg 1?😂😂😂Ndo Mana nasonga ugali kilo moja wa peke angu tu, au mchele kg 2
Eee, nikipata maziwa mgando,dagaa walio rostiwa,bamia na nyanya chungu itakaa POA Sana.Ugali kg 1?😂😂😂
Hapo unaweza usile siku 2Eee, nikipata maziwa mgando,dagaa walio rostiwa,bamia na nyanya chungu itakaa POA Sana.
Huo ni msosi wa Mchana tu, jioni sijala badoo Kanali GHapo unaweza usile siku 2
Bwana kanali achaa basii kututishaa loh😂😂😂Tunsokesha lindoni hakuna aliyewahi kukutana na wachawi nao wakiwa kazini kutekeleza majukumu yao?
02:57
Baby hujalala hadi sasa hivi? Karibu wineMaisha haya bhanadogo Costa
![]()
Vinini😂😂😂0303 Vina muda basi?🤣
Ninahuzuni kweli....ngoja ninywe tu nipunguze wengeBaby hujalala hadi sasa hivi? Karibu wine
😳0303 Vina muda basi?🤣
Ni msemo tu🤣🤣🤣Vinini😂😂😂