JamiiForums Usiku wa manane
Nini Sasa ??, Mi ni kichaa wa movie na series. Nimeona nyingi mnoo kuanzia kichina kihindi,kizungu. Kilatini, aamerika kusini, Philippines mpaka afrika na telugu
Hivi mkuu... Ulali au 🤓🤓🤓🙌🙌🙌🤝
Daaah yaani wee nakupa salout
Ndo nyie mchana unakua usiku ila wewe usiku mchana . Na mchana ni mchana tu
 
Back
Top Bottom