Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,130
Mbona ajafa... Walifanya ujanja ujanja jamaa yupo karidi kumchukua mwanae😭 Kifo kwanini kifo umemchukua
Ila wameambiwa waende Swaziland wasije kurudi tena india
Mbona ajafa... Walifanya ujanja ujanja jamaa yupo karidi kumchukua mwanae😭 Kifo kwanini kifo umemchukua
😭 Nalia Mimi Nalia na kifoAkupumzishee, au tukupeleke nayeee bibiee
Badoo bhn😂😂Glory time au bado
😭 Swaziland tena kwani waliendaje potiMbona ajafa... Walifanya ujanja ujanja jamaa yupo karidi kumchukua mwanae
Ila wameambiwa waende Swaziland wasije kurudi tena india
Utanipa feedbak yote hapo baadae... Sawa5/5 poti gari zote zimetimia poti Ila kifo dah 😭
Walitaka wakupige mashinee, sema tukawawahi ndo wakakimbilia huko😁😆😎😭 Swaziland tena kwani waliendaje poti
Mi nimezoeshwa mda huu et...Badoo bhn😂😂
Ilibidi ale kitanziWalitaka wakupige mashinee, sema tukawawahi ndo wakakimbilia huko😁😆😎
😭 Kifo kwanini umemchukua kifo kwanin kifoWalitaka wakupige mashinee, sema tukawawahi ndo wakakimbilia huko😁😆😎
We kenge Usi ni quote, mi ni mwizi wa kimataifa tu. I mean no malice to nobody 🙏🙏😭 Nalia Mimi Nalia na kifo
Sawa poti Ila kifo kinaumiza kifo 😭Utanipa feedbak yote hapo baadae... Sawa
😭 Kifo umekutana na Poti wa kimataifa kifo kwanin kifoWe kenge Usi ni quote, mi ni mwizi wa kimataifa tu. I mean no malice to nobody 🙏🙏
Mwambie akupelekee motoio 🔥🔥😭 Kifo umekutana na Poti wa kimataifa kifo kwanin kifo
😭 Kifo ni nani kifoMwambie akupelekee motoio 🔥🔥
Mi ni odorless,Colorless 😂😂
Nishaiona, Afu mi nyingi na downloadDahan
Intelligent businessman
Bado tunakesha
Mi nashusha vitu tu hapa....
Ili kesho mzigo mje kuuchukua mitaa ya likoma na agrey
04:13 Nimetoka tuition ya uchawi sasa 🤣🤣🤣Sisi wezi wa kimataifa tumeshatumia fursa hiyo Mimi intelli, mwizi anaye chipukia National Anthem, Mzee wa kupambania.
👉 Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
👉Mchana wait, usiku wetuuuuu