Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,581
Kifo hakina huruma 😭Nani mkuu, au jpm??
Kifo hakina huruma 😭Nani mkuu, au jpm??
Ndio nina uhakika 65%Ahh wapi... 😂
Makalio ya nyokaaaa😆😁, I mean no malice to nobody 🙏💪Kifo hakina huruma 😭
Inauma napiga kwikwi 😭We mbwaaa usinichosheeee. Kakae kule na mabwege wenziiooo
Eh kipi nimefanya hakina utu hapo?😔Madam kuwa na utu Basi🙏🙏, unayajua maumivu ya kumpoteza unaye mpendaa.
Ndo hao wana IT wenyewe..Watakuwa wamegeuza usiku kuwa mchana
Ningekuja kabla hujafa 😭Makalio ya nyokaaaa😆😁, I mean no malice to nobody 🙏💪
Sema unasikitisha, maana Kuna movie nikikupa list unaeza just kuziangaliaaInasikitisha sana daah
Yaaani hiyo kaifatilie ulete mrejesho daah so sadSema unasikitisha, maana Kuna movie nikikupa list unaeza just kuziangaliaa
Nisameheee Mimi, sikujua huyu ni lofa tu. I mean no malice to nobody 🙏💪 DahanEh kipi nimefanya hakina utu hapo?😔
Usiniulize swali ambalo majibu yake nayajua alaf..😢 Nimemwambia pole ni muda wake umefika au alitaka achukuliwe (akufe) yeye in that person place? Think critically alafu sema nimekosea wapi hapo Intel
Poti tunalinda geti la boss 😭Watakuwa wamegeuza usiku kuwa mchana
Kama vipi kula na spokuuuInauma napiga kwikwi 😭
😭 Kifo kwanini kifo umemchukuaWee unayesema mi ka boflo ndo ungelia ww tena kwa kwikwi
Haupo serious...🤓🤓🤓Poti tunalinda geti la boss 😭
😭 Kifo umemchukua mapemaKama vipi kula na spokuuu
Izo ndo muvi zangu mie😂😂😂naliaaa weee hadi basii😂😂😂kumbe wenzangu wako kuact😂😂Wee unayesema mi ka boflo ndo ungelia ww tena kwa kwikwi
We kitumbuaa tu, na naenda kuvitafuta asubuiikWee unayesema mi ka boflo ndo ungelia ww tena kwa kwikwi
5/5 poti gari zote zimetimia poti Ila kifo dah 😭Haupo serious...🤓🤓🤓
Kuwa makini usalama ngapi kwako..?
Mi huki 5kwa 5
Akupumzishee, au tukupeleke nayeee bibiee😭 Kifo umemchukua mapema