Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Sichangkoo ten kwakoHawataki sasa. Wanataka kutulipisha walichopewa bure
Sichangkoo ten kwakoHawataki sasa. Wanataka kutulipisha walichopewa bure
Huyo ninae muda, usimnyime kibarua Intelligent businessman ajira banaWw ulisha kataa mapema mpaka Bantu Lady amepat mchumba wewe upo nae tu unashindwa mchunga
Naomba hicho kibarua. Mtaani hali sio shwari yaani mhindi asingeleta huu mchezo wa kubet sijui ningelificha wapi mimi hili lisura languAkae mkao gani sasa shida anasema natafuta ajira angesema kibalua ata mimi ningempa
HapamsHuyo ninae muda, usimnyime kibarua Intelligent businessman ajira bana
Nipe tution ya kutosha Mkuu. Hii ya kuwa makiniIla mkuu kumbuka ngono isiyo rasmi - Kuna magonjwa,nuksi na mikosi - maana tendo halihusishi miili Bali roho pia.
Mnapofanya tendo, ujue mnabadilishana au kuunganisha nguvu zenu, matendo na muunganiko wenu.
Utapoteza nguvu,muda na hata mapato- mwisho aibu na magonjwa tu
Kuwa makini to whom you are attached with.
HapamsHuyo ninae muda, usimnyime kibarua Intelligent businessman ajira bana
na unabent tenNaomba hicho kibarua. Mtaani hali sio shwari yaani mhindi asingeleta huu mchezo wa kubet sijui ningelificha wapi mimi hili lisura langu
Ushezi tuHivi jamani usiku wa Makumi humu mwajadiligi nini??
nipe connection niache kubet mkuuna unabent ten
Asante baby Bantu Lady umeniwahi kuongea.Kalfonia karibu, leo tumekuwa na wageni kama wote
Kuiteka JFHivi jamani usiku wa Makumi humu mwajadiligi nini??
Im not jockingHivi jamani usiku wa Makumi humu mwajadiligi nini??
Bila shaka huu mwandiko ni wa kvantGuys usiku mwma naamdike kitu sikijui wala silewe
nipe connection niache kubet mkuu