Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,416
- 96,767
00:55 chuki ni bure labda uombe usizaliwe, ila as long as tuko hai kila kitu freshhh
Vipi kijana, naona emoji ya kushangaza, Kisha umefurahi??😂😂😂😂😂😂
Nitakununulia (vyote)
Mawigi na simu (vyote)
Nitakuzawadia (vyote)
Pochi zenye thamani (vyote)
Nawe uende waringishia (vyote)
Utembee kwa uskani (vyote)
Na vioo ukiwafungia (vyote)
YATAPITA...
Nafikilia maana ya jina lako...Vipi kijana, naona emoji ya kushangaza, Kisha umefurahi??
Limefanyaje??Nafikilia maana ya jina lako...
Kwanini ulijiita hivo mkuu...Limefanyaje??
Ushawai imagine, Mimi ni Nani??. And kuhusu jina nazani lina husiana na baadhi ya Mambo ninayofanyaKwanini ulijiita hivo mkuu...
Niliwahi imagine ila sikufanikiwa...Ushawai imagine, Mimi ni Nani??. And kuhusu jina nazani lina husiana na baadhi ya Mambo ninayofanya
It's about my past, present and future.
I believe am gonna be a next big legend on the game
Mi sipendi kuimagine, ila l live in the game of my own. Toka nazaliwa, nakua, naenda shule.Niliwahi imagine ila sikufanikiwa...
🙌🙌🙌🙌 Hapo kwenye future hapo...!!!
Daaah aiseee very interesting...Mi sipendi kuimagine, ila l live in the game of my own. Toka nazaliwa, nakua, naenda shule.
Ni Kama my inside soul ilisha niandaa
Intelligent alafu ni businessman🙌🙌🙌Mi sipendi kuimagine, ila l live in the game of my own. Toka nazaliwa, nakua, naenda shule.
Ni Kama my inside soul ilisha niandaa
I believe iam gonna make it, iwe viwanda, kilimo, chanjo, maabara kubwa ya utafiti. And so on.Daaah aiseee very interesting...
Kumekucha na makucha yake. Karibu tena...Kumekucha
Asante ,hakuna kahawa ya mgeni,niwasaidie lindoKumekucha na makucha yake. Karibu tena...
Et.. chanjo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂I believe iam gonna make it, iwe viwanda, kilimo, chanjo, maabara kubwa ya utafiti. And so on.
Sorry ni TIBA Mkuu, Kuna tatizo kubwa Sana Africa, magonjwa yanayohusiana na genetics, brain ni mengi mnoo and they need solution.Et.. chanjo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daah kwa kweli