Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Uwiii niitie bhana
Wewe na nganengo mnajua habari zake
Mshiki siku izi naona umeniandama kama Dr. Na Yono.
Hebu ajitokeze tu atuambie alikua wapi,

Uwiii niitie bhana
Wewe na nganengo mnajua habari zake

Ohoooh komredi naona umeamua kupindisha kombora.Labda nganengo mii hapana na huenda wapo wote japo nganengo sijamuona akichungulia hapa
Hahahaha eti unalaza mbavu, si useme tu ukweli? Unafikiri sijaona ulivyoitwaWatu naona mna usingizi acha na mm nilaze mbavu zangu
Mkiamka nistue





Hahaha u-baby unamsumbua akikua ataachaOyoooooooooooooo baby amekasirika hataki hata kuitikaaaaaaaaaa,

Jf usiku mnene ndio mkombozi wangu![]()
Eti eeh ngoja nimsubiri akue maana daah nilipojaribu kumpapasa niliambulia teke la hukuuuu.... lolHahaha u-baby unamsumbua akikua ataacha![]()
Oyooooooo safi sanaaaaaa.![]()
![]()
Tulale balimi zimwagike?
Hapa mpaka jogoo atoke bandani
Aisee, pole sanaEti eeh ngoja nimsubiri akue maana daah nilipojaribu kumpapasa niliambulia teke la hukuuuu.... lol

duuh nije kwako huogopi ile "if you do me i do you" lol mjini hapa.Aisee, pole sana![]()
![]()
Yani anathubutu kukupiga mpaka teke la hukooo... Kweli penye miti hapana wajenzi![]()
Kama vipi toroka uje![]()
Yah gal, usikute jamaa umemvalia overall na mkanda mzito kama wa jeshini ndo maana kamaindOyooooooo safi sanaaaaaa.
mpk kokolikoooooo

LolYah gal, usikute jamaa umemvalia overall na mkanda mzito kama wa jeshini ndo maana kamaind![]()
duuh nije kwako huogopi ile "if you do me i do you" lol mjini hapa.

hapana![]()
![]()
![]()
Ngoja niendelee kunywa balimi yangu taratibu, au ni lijamaa limekunyang'anya simu limeamua linipige biti![]()
Sasa woga wa nini bibie,hapana
