Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,120
- 111,799
😁Kweli nampenda ananipenda😂😂😂Alitaka nusu akapewa nzimaaa
Yuko tayari kwenda napokwenda
Ila siwezi kwenda anapokwenda
😁Kweli nampenda ananipenda😂😂😂Alitaka nusu akapewa nzimaaa
Akicheza anachoka Kama msukuma toroli
Ana ndoto za kuishi Singapore


iv vichambo unavitoa wapi au ndio uko tandika washakufundishaNaachwa vipi na niko single siku zotee, sema nilionyeshwa njia. Mi nikajifanya nimezimiaa mbona comment zilijielezaUkaachwaa😂😂😂
Dahan okoa jahazi huku linazama 😂Dah acha niteseke tu
😂😂😂No pain no gainAkicheza anachoka Kama msukuma toroli
Ana ndoto za kuishi Singapore
Ngoma ya young Half americaniv vichambo unavitoa wapi au ndio uko tandika washakufundisha
We jamaa si niliona kama umekula umeme 01:45Uzijui tena
Woiiii official Dahan kam reject kenge MwachiluwiHuyu achana nae.. Akipata ile ya royal tour tuuu ataacha kelele😅😅😅
😂 ipi hiyoHuyu achana nae.. Akipata ile ya royal tour tuuu ataacha kelele😅😅😅
Royal tour io 😅😅😅😂 ipi hiyo
Young hili songi aliandika huwa nalisikiliza sana.Ngoma ya young Half american
😂😂😂Utakua na maisha magumu sanaaaWoiiii official Dahan kam reject kenge Mwachiluwi
Karibu mkuu tupoAiseeee Wakuu nimerudiiii baada ya kitambo kidogo cha kuwa kimya
Sanaa.. Reality stuffs👌Dahan
Nmekuta anasex na trainer wake, SMS ya designer wake
Na stress akalale kwake kam miss
Amfuate kama ni mkongo apake
Kama ni shombo akate, yaani akifika ni mate na makiss
Najua ni ujinga na upuzi
Ujana na ujuzi inabidi atambue haya mapenzi
Anapenda sana movie, nimejaza ndani
Ila kutulia ndo hawezzzzzzzzziiii
Killer aliua sana hii nyimbo 🙌
We jamaa si niliona kama umekula umeme 01:45