Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Kama mkiniahidi ubwabwa wa kutosha, Basi hio kazi naimaliza mwenyewe.😂😂😂 bado na padri
Kama mkiniahidi ubwabwa wa kutosha, Basi hio kazi naimaliza mwenyewe.😂😂😂 bado na padri
Kama mkiniahidi ubwabwa wa kutosha, Basi hio kazi naimaliza mwenyewe.
😂😂 aiseeBro una miaka mingapi ?
Hizo ndevu umezipataje asee maana mi sina kabisa?
Wapishi wa nini boss. Kama vipi ntapika mwenyeweNgoja waje wapishi watoe tamko
Wapishi wa nini boss. Kama vipi ntapika mwenyewe
Usichekee inabidi ulie ukifika 45 bila ndevu ni aibu mkuu💩ndu😂😂 aisee
Una 45?Usichekee inabidi ulie ukifika 45 bila ndevu ni aibu mkuu💩ndu
Mwachi kama Mwachi kaka wa wavuvi camp .... kaka wa mujini 😆😆😆😆😆😗😗😗View attachment 2496724
Am here leo nimeamua kutuma picha yangu [mention]Marcy [/mention] njoo unione huku hulikuwa unanisumbua picha
Siku moja jobless wa kimataifa nikiwa natembea mtaani, niliwaona mende wawili wakikimbizana kwa kasi kubwa.
Mende mmoja wao alikuwa ni dume na yule mwingine alikuwa ni jike mweusi, ghafla nilipigwa na butwaa baada ya kumuona mende dume akijaribu kumbusu mende jike kwa lazima.
Nikawaza [emoji848][emoji848] vipi Kama anambaka??, Nikaamua nimsaidie ila kabla ya kutekeleza swala Hilo. Nilipata wazo jingine "vipi Kama yule mende jipya alikuwa ana kula hela za mende dume?? Na mzigo alikuwa hataki kutoa??
Nimeamua nikae ili niangalie show inavyokwenda, maana mi mwenyewe niko single so naweza pata uzoefu
Dah sijui nani ndo mwenye haki ??
To yeye Bantu Lady Dahan National Anthem Mwachiluwi
Kapita 🥂 Cheer's
Nisamehe big boss, nikuwa naangalia choo unachotumia Kama ni kisafi??Nikajua umelala ningekufukuza kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado zamu yako??kutuma hio 🤳Kapita 🥂 Cheer's
Nisamehe big boss, nikuwa naangalia choo unachotumia Kama ni kisafi??