Alisema yeye ni jobless wa kimataifa 😂😂[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ah shenzi type koh koh[emoji38][emoji38]
Nipo nawaongoza msitetereke kondoo wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kondoo mmenona sana mnafaa kuimba kwayaIla sisi tutachelewa sana kufika mbinguni [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😆😆Jinga sanaHuko chooni na haya mafuta tutampakaje😂😂😂
Tatizo analia sana ataamsha watuAnataka kurahisisha kazi naona😂😂😂
Yuko na Mama Mchungaji pembeni, atanisikia bure, aanze kunikemea 😆😆😆😆Bantu Lady fungua bible hiyo mchungaji kadata huku
Maana akiaza kulia hadi To yeye ata amka😆😆Jinga sana
Karibu Kamanda mtu chake mwenye lindo lake...02:30
Watunwanakula raha sana mimi nimejipaka mafuta nilitaka kumpaka mtu hapa kashanikimbia ngoja nikanawe mikono nilale 😂😂😂To yeye amepakatwa muda huu chezea baridi la Mbeya weye?