JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi.
Ndugu yenu niliamua nijaribu bahati yangu katika tasnia ya muziki.

niliamua kusafiri kutoka katika Kijiji chetu kinachofahamika Kama nchi ya wabahatishaji na kuamua kuelekea katika jiji la daresaaalamu.

Lengo langu kuu lilikuwa ni kuimba nyimbo 5, hivyo baada ya kufika stend ya mbezi, nilipokelewa na mwenyeji wangu boss Mwachiluwi aliyekuwa ameongozana na secretary wake To yeye .

Waliamua kunipeleka studio moja kwa moja Ili nianze kazi iliyo nileta, baada ya kuonana na produza.niliamua nianze kuimba nyimbo inayohusu maisha yangu Mimi jobless wa kimataifa.

Dah sijui nini kilitokea🤔🤔 kwani tokea asubui Mimi na produza tulikuwa tunalia hovyo 😥😪

Bantu Lady To yeye boss Mwachiluwi National Anthem Dahan na stow away
 
Waliamua kunipeleka studio moja kwa moja Ili nianze kazi iliyo nileta, baada ya kuonana na produza.niliamua nianze kuimba nyimbo inatohusu maisha yangu Mimi jobless wa kimataifa.

Dah sijui nini kilitokea🤔🤔 kwani tokea asubui Mimi na produza tulikuwa tunalia hovyo 😥😪

Bantu Lady To yeye boss Mwachiluwi National Anthem Dahan na stow away
🤣🤣🤣 heshima yako mkuu
 
Baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi.
Ndugu yenu niliamua nijaribu bahati yangu katika tasnia ya muziki.

niliamua kusafiri kutoka katika Kijiji chetu kinachofahamika Kama nchi ya wabahatishaji na kuamua kuelekea katika jiji la daresaaalamu.

Lengo langu kuu lilikuwa ni kuimba nyimbo 5, hivyo baada ya kufika stend ya mbezi, nilipokelewa na mwenyeji wangu boss Mwachiluwi aliyekuwa ameongozana na secretary wake To yeye .

Waliamua kunipeleka studio moja kwa moja Ili nianze kazi iliyo nileta, baada ya kuonana na produza.niliamua nianze kuimba nyimbo inayohusu maisha yangu Mimi jobless wa kimataifa.

Dah sijui nini kilitokea[emoji848][emoji848] kwani tokea asubui Mimi na produza tulikuwa tunalia hovyo [emoji26][emoji25]

Bantu Lady To yeye boss Mwachiluwi National Anthem Dahan na stow away

Wew jamaa wew ni shida ase [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_0224.jpg

Am here leo nimeamua kutuma picha yangu [mention]Marcy [/mention] njoo unione huku hulikuwa unanisumbua picha
 
Back
Top Bottom