Amina Amina, mnao pata kibali cha kuomba mtuombee na sisi, maana ugumu wa maisha na tamaa vimetufarakanisha na Mungu hatusali tena.Saa 3:00, Karibuni jmn tumuombee Mungu wa mbinguni.
Hello to you My friend, how are you!Dahan Uchira 1 Sierra One Pendaelli Intelligent businessman Mr kenice To yeye Akhi fyddell Mwachiluwi National Anthem Glenn Forest Hill Mkalimani wa Bibi Ambiele Kiviele Iceberg9 Boogman East ahmed albahshahwa Half american makidee KIDUME20 tamuuuuu Mihayo DP Winnone Liverpool VPN De Professor
HelloUSIKU WA MANANE FAMILY
Nilijua tu 🤔04:33 Morning Glory
Kesho niko lindoni tukutane hapa my Bantu LadyDahan Uchira 1 Sierra One Pendaelli Intelligent businessman Mr kenice To yeye Akhi fyddell Mwachiluwi National Anthem Glenn Forest Hill Mkalimani wa Bibi Ambiele Kiviele Iceberg9 Boogman East ahmed albahshahwa Half american makidee KIDUME20 tamuuuuu Mihayo DP Winnone Liverpool VPN De Professor
Hello 👋👋👋 USIKU WA MANANE FAMILY
And waliolala 2 kitanda kimojaMVUA inaendelea kunyesha! Je itakuwa salama kwa watu wanaoishi mabondeni?
Oo kipenz nn tena? Au ulienda kule kweli?Asta la Vista comrades, my health is not quite fine. So I resign from my duty Bantu Lady, fyddell To yeye National Anthem Mwachiluwi
Tukasali sasa6:27
Poa wangu,vpMama bright hujambo
Barikiwapole sana mkuu. Mungu akufanyie wepesi
Inanyesha mpaka sasaHuko msamvu inanyesha babe ?
Asante, niliamka nikapiga sala zangu, nikajibariki na maji ya baraka na kunyunyia maji chumbani, bundi akasepa sikumsikia tenaOmba kwa Imani yako Mkuu, usimuogope kabisa. Pole kwa kichwa
Msamvu ni morogoroInanyesha mpaka sasa
msamvu ndio wapi?
So unataka kutuambia jana ulilala stendi?Msamvu ni morogoro
Stand ya morogoro mjini ple inaitwa msamvu