SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Mi leo sipo nimechoka kama punda Dahan anachukua kiti changu kama hayupo nampa Mwachiluwi 😶
Leo nipo sana mkuu lala wewe naona umechoshwa na mbususuMi leo sipo nimechoka kama punda Dahan anachukua kiti changu kama hayupo nampa Mwachiluwi 😶
Naingia lindoKiatu cha udongo unapotea sana mpaka nimekusahau best.
Sema mkuu22:36 lots of love to you ladies & gentlemans Bantu Lady To yeye Mwachiluwi Dahan Glenn stow away National Anthem and to me jobless wa kimataifa Intelligent businessman
22:40 lots of love to you ladies & gentlemans Bantu Lady To yeye Mwachiluwi Dahan Glenn stow away National Anthem and to me jobless wa kimataifa Intelligent businessman
Fresh kabisa, naona ulikimbia lindo.Sema mkuu
Nipo kijakazi wako a.k.a jobless wa kimataifa.Am here boss mkuu wa kambini hapa
Acha utani mkuu nakuona leonulikuwa unajilushaNipo kijakazi wako a.k.a jobless wa kimataifa.
Nimeshinda na njaa mchana kutwa, hio nguvu ya kuruka ruka ningetoa wapi??Acha utani mkuu nakuona leonulikuwa unajilusha
Unashinda njaa wewe mtoto wakishuaNimeshinda na njaa mchana kutwa, hio nguvu ya kuruka ruka ningetoa wapi??
Boss Mbona unanidhihaki, we mwenzangu ni mwenyekiti huko wavuvi kemp. Mimi ni jobless tu.Unashinda njaa wewe mtoto wakishua
Usinikumbushe kabisaBoss Mbona unanidhihaki, we mwenzangu ni mwenyekiti huko wavuvi kemp. Mimi ni jobless tu.
Nisikukumbushe jinsi ulivyo spend 1m au sio??Usinikumbushe kabisa
Nilikuwa chawa janaNisikukumbushe jinsi ulivyo spend 1m au sio??
Sasa si mlikutana wote maboss, ukaona ujishushe kwa magiant wenzio. Imeandikwa ajishushae hupandishwa.Nilikuwa chawa jana
Ww kijans acha kunipamba hapa jukwaninaiku nitapata shida watashindwa nisaidiaSasa si mlikutana wote maboss, ukaona ujishushe kwa magiant wenzio. Imeandikwa ajishushae hupandishwa.
Kaka Mimi na wewe anaepaswa kusaidiwa ni Nani??. Jana umefungua uzi wa wavuvi kemp, ukaeleza hadi bei ya bia ni 8000. Mi ni jobless wa kimataifa.Ww kijans acha kunipamba hapa jukwaninaiku nitapata shida watashindwa nisaidia