Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,450
hahahaha.nilihamishwa lindo,mkuu ila sasa tupo pamojamtu chake weekend huwa zamu yako ya lindo, ila unalikacha...
hahahaha.nilihamishwa lindo,mkuu ila sasa tupo pamojamtu chake weekend huwa zamu yako ya lindo, ila unalikacha...
Napiga hesabu ya madeni yanguNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Inahuzunisha kwakwel......Wakat niko single..
Nilikuwa nikishtuka usingizin nilikuwa najiwazia
NINGEKUWA NIMEOA NINGEMWAMSHA WIFE TUKASEX AU STORY MPKA NTAKAPOLALA..
ila imekuwa tofaut wife anakoloma binafsi napamban na simu tu.
mambo01:30