Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Tulia weweKijiwe cha wanaolala single hiki![]()
Tulia weweKijiwe cha wanaolala single hiki![]()
Situlii, niue!!Tulia wewe
Kesha tu mkuu ni muda muafakaTuanze? Mbona mapema?
Subiri mpate mtomtoWakat niko single..
Nilikuwa nikishtuka usingizin nilikuwa najiwazia
NINGEKUWA NIMEOA NINGEMWAMSHA WIFE TUKASEX AU STORY MPKA NTAKAPOLALA..
ila imekuwa tofaut wife anakoloma binafsi napamban na simu tu.
1:0201:00
Nenda bar mkuuUmeme hakuna, feni haiwaki, joto la sahara, mbu wanagombania kitoweo kila mmojq upande wake, .. dah! Smtimes mtanzania anapitia mengi magumu