Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,844
- 16,094
Mlinzi mkuu nafunga lindo sasa 1;0801:00
Kwema kwema.. huku mvua tuu🌨️🌨️🌨️🌧️🌧️🌧️🌧️🌧️Kwema huku
Sio walinzi sema mlinzi😃😃😃👏👏🤝🤝🤝Mpo walinziii
Wwe hulindi mkuuuSio walinzi sema mlinzi![]()
Kwanini unasema hivo...😃Wwe hulindi mkuuu
Muda huu hapa tz ni wakulalaKwanini unasema hivo...![]()
😃😃😃😃😃 Tupo pamoja.. karibu kwenye lindo.. japo najua mda mchache tuu hapo utaniacha hap😃😃Muda huu hapa tz ni wakulala
Labda uwe Alaska huko
So far tu walinziii hatuna usingizi mkuu
Pamoja mkuuTupo pamoja.. karibu kwenye lindo.. japo najua mda mchache tuu hapo utaniacha hap
![]()
Huku kwema,,Tuna mshukuru mungu sijui wewe pande hizo maan huku mvua tuu lindo kwangu gumuPamoja mkuu
Kwema lakini
Natabiri upo rock city mkuuHuku kwema,,Tuna mshukuru mungu sijui wewe pande hizo maan huku mvua tuu lindo kwangu gumu
Jiji la makala au...😃😃😃😃. Hapana sipo huko...Natabiri upo rock city mkuu
Mie huku nilipo ni joto + umeme + maji mgao basi karaha mtindo mmoja
Yap yap tupo huku mkuuJiji la makala au.... Hapana sipo huko...
Huko mgao wao huo utawacost kesho😃😃😃😃Yap yap tupo huku mkuu
Ila mwanza mvua inanyesha till this material time
May be upo kwa wazee wa senene just imagination tuuu
Daah hadi Dom inanyeshaHuko mgao wao huo utawacost kesho
Dodoma moja hiyoooo
Kwa kweli inapiga Niko ilazo ddm hapa mvua inapigaDaah hadi Dom inanyesha
Wazee wa bahi kama nawaona vile