Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Ukiona kijana wa bodaboda amevaa suti anaendesha kistaarabu ,jua ametoka mahakamani kesi ya Child support.

Karibu1:34 am hii ni zaid ya noma hata chembe ya usingizi hakuna
Oy umewaka bin hujaeleweka manNiko sehumu nacheki mpira nikakutana na pungu nimekereka nikarud omu tu kulala 12:57View attachment 2366103
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamaa sijamuelewa kabisa naona maji yamejaaa tayariOy umewaka bin hujaeleweka man


unafki tu umekujaaa mwanaume rijali huwa hafatilii watu wala maishaa ya watu tena kwenye issue kama hiyo kuonyesha kama amekereka hawez hata kupost kwendagaa bwanaa kuna bar huko dar isyokuwa na mashoga au unafki tu mxieewwwNiko sehumu nacheki mpira nikakutana na pungu nimekereka nikarud omu tu kulala 12:57View attachment 2366103
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Welcome backJamani nimemiss jukwaaa langu pendwaa🥲🥲its been a while guys