JamiiForums Usiku wa manane
Aisee mpo na tabu sana chaputaz
,🤣🤣🤣🤣 ningekuwa nishalala boss. Lakini nilichokwambia ni kweli,masterbation inasababisha mwili kuachia hormones ambazo zinafanya mwili kurelax hivyo kuleta usingizi.

Ni option ambayo kama mtu hana amani nayo simshauri kutumia,lakini ndio ushauri wangu wa kwanza kwa watu wengi wenye Insomnia. Mengine yanahitaji process nyingi sana.
 
,🤣🤣🤣🤣 ningekuwa nishalala boss. Lakini nilichokwambia ni kweli,masterbation inasababisha mwili kuachia hormones ambazo zinafanya mwili kurelax hivyo kuleta usingizi.Ni option ambayo kama mtu hana amani nayo simshauri kutumia,lakini ndio ushauri wangu wa kwanza kwa watu wengi wenye Insomnia. Mengine yanahitaji process nyingi sana.
Ushauri mbaya
 
Back
Top Bottom