Af ujanijibuLeo mapema tu
duh.swali cjaona ,uliza tena hpAf ujanijibu
Pmduh.swali cjaona ,uliza tena hp
bibie umeshalala?02:02
Bado mkuubibie umeshalala?
Shida nini? zamu ya usiku au Insomnia?Bado mkuu
Insomnia.... Toka nikiwa form twoShida nini? zamu ya usiku au Insomnia?
Duuh,miaka mingapi sasa?Insomnia.... Toka nikiwa form two
🤣🤣🤣 konyagi form two? inabidi kwanza utafute chanzo ni nini,kabla hujatafuta solution....Unahisi shida ni nini so far?Miaka 7..... Nilianza ikifika usiku muda nmemaliza kusoma napanda kitandani kulala najigeuza hadi asubui.. navaa naenda shule.... Rfk angu akanambia niwe nakunywa konyagi robo kikombe... Nikajaribu siku ya kwanza nliumwa kichwa sitasahau
lipa madeni ya watu boss utakuja tu.Usingizi umegoma aisee.
Wee tulia tunalipa madeni makubwa makubwa kwanza wenye madeni madogo zamu yenu bado😂lipa madeni ya watu boss utakuja tu.
Nikupe mbinu ya kulala boss?Wee tulia tunalipa madeni makubwa makubwa kwanza wenye madeni madogo zamu yenu bado😂
Shusha nondoNikupe mbinu ya kulala boss?