JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

02:30 niliwahi kukesha humu nikapata mchuchu.....usiombe kupendwa na mdada Ako na stress....zikipungua ni Kama vile anarudi kwa factory settings
 

Attachments

  • 20220623_142042.png
    20220623_142042.png
    102.2 KB · Views: 29
Vipi? Ulikosa kabisa dada utamu wa kukuliwaza huko? Au Makete hakuna hiyo huduma? DAR siku hizi mpaka Mbezi stendi kuu kuanzia saa moja usiku. Pesa yako tu.
Hahahahaa aiseeee huwa siwezi kabisa ujue! Dah nitakua na shida nadhani. Huwa nikishindwa Kabisa nabeba "hotpot" kuanzia huko ninakotoka
 
Back
Top Bottom