Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 614
- 1,349
Nilikuepo juzi huko ni balaaAiseeee nipo Makete kitu kina freeze mbaya
Nilikuepo juzi huko ni balaaAiseeee nipo Makete kitu kina freeze mbaya
Usingizi umegoma aiseeeeNilikuepo juzi huko ni balaa
Niko hapa Jirani tu, nimetoka kwa Mwamposa natafuta mlipo nije niwafanyie MaombiMko wapi nipo,boardroom hp
km ni maombi,tuonane baadae kdg,nina kazi muda huuNiko hapa Jirani tu, nimetoka kwa Mwamposa natafuta mlipo nije niwafanyie Maombi
Sawa ila kama uko na K-vant kubwa nibakishie kidogo, nahisi Koo limenikaukiakm ni maombi,tuonane baadae kdg,nina kazi muda huu
Niko hapa Jirani tu, nimetoka kwa Mwamposa natafuta mlipo nije niwafanyie Maombi





Na wee pia hujala? Au uko break??O231![]()