JamiiForums Usiku wa manane
Usingizi sina
Lakini tungeanzisha group la wasap admin awe nganeno
Mkuu, jaribu hii dawa ni nzuri sana kwa kuleta usingingizi:-
Chukua bombadia 7
Changanya na kasichana kamoja
Ongeza balimi 3 kwenye mchanganyiko
Then bila kusahau changanya na pilipili kiganja kimoja na ugoro vijiko 2 vya chai. Kunywa kwa Mara moja kisha ulale.

Nb:- Ukipona tafadhali lete mrejesho hapa, bila kusahau balimi 3 za mtabibu
 
Mkuu, jaribu hii dawa ni nzuri sana kwa kuleta usingingizi:-
Chukua bombadia 7
Changanya na kasichana kamoja
Ongeza balimi 3 kwenye mchanganyiko
Then bila kusahau changanya na pilipili kiganja kimoja na ugoro vijiko 2 vya chai.

Nb:- Ukipona tafadhali lete mrejesho hapa, bila kusahau balimi 3 za mtabibu
Acha kumpotosha mwenzio
 
03:28 Popooozz, popo kongwe kama kawaida nawajulia hali, mi niko poa tuko pamoja nawasindikiza hapa
 
Popoooozz mbona siwaoni leo? Isijekuwa mmenasa kwenye nyaya za umeme, kichwa chini miguu juu, mi nipo nawasindikiza
 
Back
Top Bottom