Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Naomba uniazimishe sindano nishone huu mdomo aisee maana utakuja kuniponza siku si nyingi.![]()
![]()





Ahsante jirani mwenye moyo safi wa utoajiOhooo pole sana

Sweetlove, Naona nimechoka ngoja sasa nikaupumzishe mwili nimechoka kweli naenda kulala..

Nleterewa Nganengo nipe bombadia 2 hapo nimenywee sumu ya panya![]()
![]()

Naomba kuwatambua hao shemeji zangu ....Iceman ni mpenzi wangu tafwadhali sana, mbona unakuwa hivyo Thad jamani
Ogopa jimama linaloGida balimi extra fahari ya wasukuma
Thank you baby, gudnight lovely.Sweetlove, Naona nimechoka ngoja sasa nikaupumzishe mwili nimechoka kweli naenda kulala..
A day is going to end again. It is nice to have someone like U making everyday seems so great. Thank U my love and may all the angels guard you this night!
i wish you were here![]()
![]()
![]()
Huo ulaini nitautoa wapi mimi na hii mi bombadia ninayoshinda nafakamia?![]()
![]()
![]()

Lala unono mamy!Guys love you all, naomba niwakimbie![]()
![]()
![]()
![]()
Kila la kheri nyote mkeshe salama.
Ahsante Agash, saivi kidogo afadhali, hata Savanna kadhaa zinaweza kupita kinywani![]()
wewe sio mgonjwa wewe
HhahahahahahaOgopa jimama linaloGida balimi extra fahari ya wasukuma
Hapo umelike kinywaji au mnywaji?![]()
![]()
![]()

Hata usijisumbue bure....mie sibebishiki, ni wivu tu unanisumbua nikiona wanaobebishana![]()
![]()
Subiri kwanza, ntakutafutia mwalimu wa mibebisho na midekezo, tena private![]()

Thank you baby, gudnight lovely.
Usiku mwema shem....Hunter Kichwa Kichafu
Maserati
Lovely Shem Thad
Nleterewa Nganengo
Gentries
Internal
Na wengineo niliowasahau kwenye List....nawatakieni usiku mwema mlale unono...tukutane hapo baadae tena kukikucha!! Salute nyingi kwenu

Naomba kuwatambua hao shemeji zangu ....
Nani mumeo/mpenzio? Babio nishamjua.....(kaniahidi bajaji za taifa za kutosha tu)