JamiiForums Usiku wa manane
Nimeshtuka saa nane za usku nimekoza usingiz kbsa pmj na kwamba Jana wakt was mpira nimebugia kvant ndogo ila wapi saa nane imekata yote

Nawaza kuamka kuwai kituo Cha police madale nikapambane na kesi
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Hakuna kulala hakuna kulala asubui itukuteeeeh, Hakuna kulala na machweo yatukute...... Wivu umewaingia Mungu kanionyesha ishara........... My parents aren't heroes there's just like me......... Ooh love u ma babe love you ma babe...........inama kidg shika magoti........... Hatuachani ni kicheko......... do le mi fa so la tI doooo
 
Like
 
Back
Top Bottom