jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,699
- 41,862
01:51
Naamini sahivi mwanao mkubwa sana.Mi nipo kitandani namwangalia mtoto asiamke akalia
Pole sana ndugu. Naamini ita kuwa heri usiweze sana. Mungu akuwezeshe aiseeNimekosa usingiz kisa Kuna kesi ipo pollice inanisumbua Sana mpk nakoza Cha kufanya
Sabaya yeye atasemaje?Nimekosa usingiz kisa Kuna kesi ipo pollice inanisumbua Sana mpk nakoza Cha kufanya
Ni kama Usiku wa Deni haukawii kukucha🤔,usiwaze mkuu Mungu atakufanyia wepesiNimekosa usingiz kisa Kuna kesi ipo pollice inanisumbua Sana mpk nakoza Cha kufanya
Mkubwa kabisa Namshukuru MunguNaamini sahivi mwanao mkubwa sana.
Wewe ni mlinzi?3:46 nafanya patrol