JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haya mlo mwema
Kitu hicho [emoji39][emoji39]
IMG-20220114-WA0002.jpg
 
Yani nafumba macho kabisa nilale ila usingizi haujii sijui nimelogwaa....najua kesho wengine kazii ila kama na wewe hudamki kama mimi na unasubiri "mishe flani" kama mimi na huna usingizi njoo basi tukeshee hadi usngizi ukuje
 
Back
Top Bottom