orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,960
- 4,929
Gooooodmorning TanzaniansSASA NI SAA 12 KAMILI ASUBUHI.(06:00 HRS) LINDO LINAFUNGWA HADI USIKU. J3 NJEMA.
Gooooodmorning TanzaniansSASA NI SAA 12 KAMILI ASUBUHI.(06:00 HRS) LINDO LINAFUNGWA HADI USIKU. J3 NJEMA.
Good morning to you OrturooGooooodmorning Tanzanians
How is you doing broh!Good morning to you Orturoo
Yah unaweza,Kwa kutuuzia gahawa ili tukeshe zaidi.HIVI HAKUNA JINSI HUKU KUKESHA NIKAGEUZA CHANZO CHA KIPATO?
IDEAS WAKUU.
Hahahaha dahYah unaweza,Kwa kutuuzia gahawa ili tukeshe zaidi.
Ushalala wewe.. Watu ndio kwanza Tunaanza.12:28
UnawezaHIVI HAKUNA JINSI HUKU KUKESHA NIKAGEUZA CHANZO CHA KIPATO?
IDEAS WAKUU.
Anzisha kijiwe cha kahawa. Lete wazee wawili, mmoja mwanasimba na mwingine mwanayanga, pia wawepo vijana wawili, team kiba+konde gang na team diamond. Utavutia wateja balaa. Wazee wakianza mabishano watu watajaa kunywa kahawa huku wanashuhudia mpira wa mdomoni liveHIVI HAKUNA JINSI HUKU KUKESHA NIKAGEUZA CHANZO CHA KIPATO?
IDEAS WAKUU.
Dah. Hii idea safi mkuu. Ngoja nianze kutafuta location kwanza.Anzisha kijiwe cha kahawa. Lete wazee wawili, mmoja mwanasimba na mwingine mwanayanga, pia wawepo vijana wawili, team kiba+konde gang na team diamond. Utavutia wateja balaa. Wazee wakianza mabishano watu watajaa kunywa kahawa huku wanashuhudia mpira wa mdomoni live
Ukifanikiwa usiache kunishukuruDah. Hii idea safi mkuu. Ngoja nianze kutafuta location kwanza.
Uyo kasanda mapema sana. Au atakua lindo.Salaam mkuu![]()
Ametoroka kabla muda wakeUyo kasanda mapema sana. Au atakua lindo.