Njoo tulinde
Habari yako. Nilikuwa najuliza, leo kuna nini? LINDO hadi saa 7:40 usiku halikuwa na mlinzi! Haya tuanze kazi sasa saa 01:50 HrsNdo naamka sasa
Nenda makampuni ya ulinzi, nasikia mshahara ni TZS 250,000/Natafuta kazi wakuu, ulinzi au night shift yoyote.
Tatizo wale 24hrs kuna zamu za usiku na night. Mi nataka night tu. Huu mwezi wa 8 tokea uanze sijawahi lala masaa zaidi ya 4 kwa siku.Nenda makampuni ya ulinzi, nasikia mshahara ni TZS 250,000/
NimekuelewaTatizo wale 24hrs kuna zamu za usiku na night. Mi nataka night tu. Huu mwezi wa 8 tokea uanze sijawahi lala masaa zaidi ya 4 kwa siku.
Huu muda ninaoutumia kutafakari maisha ningeweza kuingiza hela mzee.
Hilali? 04:0504:04 Hrs