financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Yes naweza mkuu mpaka 6 in the morning 😛Unaweza kulinda?
Yes naweza mkuu mpaka 6 in the morning 😛Unaweza kulinda?
Karibu lindoniYes naweza mkuu mpaka 6 in the morning 😛
Thank you mkuu, nimekaribia hapa na mapop corns kibao ya kusindikiza lindo😂Karibu lindoni
Usisahau mshale na upindeThank you mkuu, nimekaribia hapa na mapop corns kibao ya kusindikiza lindo😂
Thank you mkuu, nimekaribia hapa na mapop corns kibao ya kusindikiza lindo![]()
Salama mkuu Magombe! Habari ya huko ulipo pia?Huduma za kifedha,habari za usiku wa manane
Mbona kama unanitoa chambo mkuu! Huko mashariki si ndiyo kule kuna ukorofi mwingi?😂 unataka nipigwe mitama wewe😂Usisahau mshale na upinde
Wewe utakaa geti la Mashariki leo
Salama mkuu Magombe! Habari ya huko ulipo pia?
Ooh pole na safari na ufike salama, ila mlitoka late huko saa saba kasoro hii upo mlandizi?🤔Nikwema kabisa,nipo mlandizi narud mjini ila kuna foleni mnooo...naambiwa kimeumana ukoo mbele
Janga la kukata usingizi