Pole sanaaa fanya umpeleke hospital hakuna namnaa..04:44 mwanangu anaumwa hivi nimekaa hapa nimempakata yeye kasinzia lakini ni wa moto sana hapa kwenye koo nadhan anaumwa kama nilivyoumwa siku za nyuma..
[emoji120][emoji120] jana jioni nilimpeleka akapimwa hajakutwa na ugonjwa wowotePole sanaaa fanya umpeleke hospital hakuna namnaa..
Mungu ni Mwema