Karibu lindoni kila siku mkuuKitambo sana,kumbe bado tunalindana.
Pema sana mbonaNdio kwanza sawa 00:44
Nalog off
Asante, nipo.Karibu lindoni kila siku mkuu
Leo itakuwa zamu yako kufunga geti hahahhajaaAsante, nipo.
Nitajitahidi sana.Leo itakuwa zamu yako kufunga geti hahahhajaa
Kwa Hilo tabasamu nakuamin mkuu...neema ya Mungu ikulinde usije pata usingizi na kuacha lindo waziNitajitahidi sana.
Msijekuta nimeibiwa tu.Kwa Hilo tabasamu nakuamin mkuu...neema ya Mungu ikulinde usije pata usingizi na kuacha lindo wazi
Askari akiibiwa tutamtafuta tumfunge kabsa gerazan..huo uzembe siamin kama unao. HahahhahahahMsijekuta nimeibiwa tu.
Nimeamka rasmi, gerezan nitapasikia tu.Askari akiibiwa tutamtafuta tumfunge kabsa gerazan..huo uzembe siamin kama unao. Hahahhahahah
Bora mkuuNimeamka rasmi, gerezan nitapasikia tu.
JitahidiNimeamka rasmi, gerezan nitapasikia tu.
Unaenda wapi afande0104
🏃🏃🏃👋