Dah.... Na kazi ziendelee 🤣🤣🤣12:57
nawasalimu wanalindo wotee..
013301:31
Naharishavibaya mno time hii wakuu,tuombeane
![]()

pole sana Afande0401HRS Vipi una nguvu za kushika simu au mwendo umekulegeza02:50
Bado ngoma mbichi,naingia toi round ya 6 in 1hr![]()