rodreven
Member
- Sep 13, 2017
- 61
- 98
Tatizo hiloo![]()
24/12 ni nini mkuu salute kwako kwanza0124
24/12
Saturday
Mda badoLindoni
Huu mwaka ushanichosha24/12 ni nini mkuu salute kwako kwanza
Naona tumejiwahisha mapema aaaaMda bado
Ndo nashangaa, sijui nan kawapa ufunguoNaona tumejiwahisha mapema aaaa
Utakuwa mchaga mkuu...umemkumbuka kwenda mndeniHuu mwaka ushanichosha
Tumekuwa walinzi waaminifu...tunataka tuzo pale 24/12Ndo nashangaa, sijui nan kawapa ufunguo
🤣🤣🤣🤣naisubili mkuuTumekuwa walinzi waaminifu...tunataka tuzo pale 24/12
Tena sio kwa hiyo hamu ulonayo..omba Mungu ufike hiyo tarehe🤣🤣🤣🤣naisubili mkuu
Mungu mwaminifu, tutafika tuTena sio kwa hiyo hamu ulonayo..omba Mungu ufike hiyo tarehe