Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,994
- 189,579
0437Hrs.
Blue Monday.
Mungu ni mwema wakati wote.
Blue Monday.
Mungu ni mwema wakati wote.
[emoji120][emoji120]Boss Boss.
Heshima yako mkuu.
Pole jaribuNaumwa leo..naumwa koo cjui ni vidonda kooni lakini siyo tonsil nameza mate kwa shida sanam.anayejua dawa jaman uwiii ntakufa mie
Shukran! Ngoja kukuchePole jaribu
amoxicillin
Pole sana !!!,.............. fanya check up !!Naumwa leo..naumwa koo cjui ni vidonda kooni lakini siyo tonsil nameza mate kwa shida sanam.anayejua dawa jaman uwiii ntakufa mie
Pole sana mkuu.Naumwa leo..naumwa koo cjui ni vidonda kooni lakini siyo tonsil nameza mate kwa shida sanam.anayejua dawa jaman uwiii ntakufa mie
Arya stark alitukosea sana kumuua huyu mwamba.Mfalme wa usiku.. mfalme wa uzi
View attachment 1868281