Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Yeah,naona limeshupaliwa lisije likamkosesha amani akawa anashindwa kusema.
Jamani ni utani tu best! Unadhani usiku huu bila mautani muda unasonga basi!?Yeah,naona limeshupaliwa lisije likamkosesha amani akawa anashindwa kusema.
Jamani ni utani tu best! Unadhani usiku huu bila mautani muda unasonga basi!?
Mission failed!!!Mmmh! Kweli umenishushua na umbea wangu....mi ilitaka niwagombanishe....![]()
![]()
aaah we nawe bwana!
Asije akakosa mupenzi bana kwa ubaba na umama chanja.Mtanie tuu kwani shida ipo wapi Dear?
Siaminiiii sahvvvv????Wakuu wote usiku mwemah.
Huh! kumbe ulkuwa huna habari Man...kitambo mbona...?? Elewa hivyo lakiniMkuu mbona hujatualika hii ndoa au mimi ndo sijaalikwa?
Nimeona tu paaaap ni ma beby tutambulishane basiii

Utani najua,lakini ambavyo ulilikomalia nikaogopa.![]()
![]()
Jamani ni utani tu best! Unadhani usiku huu bila mautani muda unasonga basi!?



nikaona asije akakopa shuka na baridi hizi mbona nitakuwa nimekuwa katili sana...Hem kua mpole kwa techer wewe mwanafunziTaja somo utakalonifundisha kwanza nisije nikapoteza muda wangu bure
Mmmh! Kweli umenishushua na umbea wangu....mi ilitaka niwagombanishe....![]()
![]()
aaah we nawe bwana!




Okey lovsijawahi kukuhisi vibaya Babe...ondoa shaka
Hata mimi naona sio mwandiko wako huo mbonaPole sio mimi apo
Asije akakosa mupenzi bana kwa ubaba na umama chanja.
hapa tunasukuma tu usiku best! Ndo maana mchana sisi wengine hatuna haya matani.
pole sana...usijaribu kutuharibia
Asanteh baby, lov yuu
Hamna shaka mkuu pamoja sana
Ni utani tuu kila mtu anatambua hilo, kuwa na amani banah.Asije akakosa mupenzi bana kwa ubaba na umama chanja.
Utani najua,lakini ambavyo ulilikonalia nikaogopa.nikaona asije akakopa shuka na baridi hizi mbona nitakuwa nimekuwa katili sana...
Usiogope mwanakwetu....ila kama hamkupenda nilivyokuwa nachochea kuni basi nitaacha kama nilivyoacha kuwatakia watu R.I.P