Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Ulale salama jirani yangu kipenzi.Wakuu wote usiku mwemah.
Ulale salama jirani yangu kipenzi.Wakuu wote usiku mwemah.
Taja somo utakalonifundisha kwanza nisije nikapoteza muda wangu bureHakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Hivyo vyote baada ya kusema ninavyo njoo mama
![]()
![]()
tayari nini?
Hivi unajua lakini kama huyo hunter na baby wako ni majirani walioshibana sana? Yaani wale ambao iliimbwa kuwa ni kitu kimoja haina haja kunyimana!
(Najisemea tu, mimi nae huu mdomo utaniponza)![]()
![]()
Tayari kashakuchukuaMkuu kwani umehamia huku tukukabidhi funguo za get?sawa karibia tena Inna
Wewe ni mtaalam wa uchochezi eeh?
Tuone ulivyo furahi kama ni juu au chini?

Nawe pia jirani wa NeyWakuu wote usiku mwemah.
Huwa napita huku tu kuwapa 'hi' basi na kuchat kidogoMkuu kwani umehamia huku tukukabidhi funguo za get?
Tatizo si kufungianaBola lilivyo isha na isijiunge halichachi tukafungiana
tatizo kula nini mtakapo fungiana..maana hamtofungiana kwa mema wala mabaya atiii![]()
![]()
tayari nini?
Hivi unajua lakini kama huyo hunter na baby wako ni majirani walioshibana sana? Yaani wale ambao iliimbwa kuwa ni kitu kimoja haina haja kunyimana!
(Najisemea tu, mimi nae huu mdomo utaniponza)![]()
![]()

Sema haki ya nani vile![]()
![]()
![]()
yaani wewe. Aisee najisikia kukutania lakini mmmh.
Yeah,naona limeshupaliwa lisije likamkosesha amani akawa anashindwa kusema.La kumaliza jina la baba/mama chanja
Kuulizwa zaidi ya mara 2Sema haki ya nani vile
Khofu yako ipo wapi?

nisije kukukosesha mupenzi kisa ubaba chanjaAsanteh baby, lov yuu![]()
![]()
![]()
![]()
Tayari kashakuchukua
ila hiyo hainipi shida sana Babe wangu Neybright namuamini ananiamini na pia Kichwa kichafu msela wangu wa nguvu hawezi kunisaliti kabisa
Mmmh! Kweli umenishushua na umbea wangu....mi ilitaka niwagombanishe....![]()
![]()
![]()
![]()
Tayari kashakuchukua
ila hiyo hainipi shida sana Babe wangu Neybright namuamini ananiamini na pia Kichwa kichafu msela wangu wa nguvu hawezi kunisaliti kabisa
aaah we nawe bwana!
sijawahi kukuhisi vibaya Babe...ondoa shaka
Yaan rafiki yangu umenishinda tabia, sio kwa umbea huo. Ila baby wangu ananiamini kama mimi ninavyomuamini sidhani kama atafikiria vibaya.
Mtanie tuu kwani shida ipo wapi Dear?![]()
![]()
![]()
yaani wewe. Aisee najisikia kukutania lakini mmmh.
Mkuu mbona hujatualika hii ndoa au mimi ndo sijaalikwa?![]()
![]()
![]()
![]()
Tayari kashakuchukua
ila hiyo hainipi shida sana Babe wangu Neybright namuamini ananiamini na pia Kichwa kichafu msela wangu wa nguvu hawezi kunisaliti kabisa
Pole sio mimi apo