jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Kichwa Kichafu ndo umeenda kulala ama? Umepotea gafla au unajibu pm
Tupo jaman...karibuHumu ndan mpoooo
0035[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38] 0032hrs
Nashukuru nshakaribia, uzma upo lakinTupo jaman...karibu
Mungu mkuu...tunasogeza lindo wengine waje kupokeaNashukuru nshakaribia, uzma upo lalin
Ok, basi n vyemaMungu mkuu...tunasogeza lindo wengine waje kupokea
[emoji3590]Ni mm kipenzi..hakuna ndoto hapo
HakikaHakuna kuacha lindo wazi
Pm hakuna zaidi ya za kwako unajua hilo.Kichwa Kichafu ndo umeenda kulala ama? Umepotea gafla au unajibu pm
Si nilikuambia sitaki kunenepa zaidi ya hapa nilipo darln, nikisikia hivyo basi roho yangu kwatuuu..Ila nakuaminia mpnz wangu ni wivu tu unanisumbuaPm hakuna zaidi ya za kwako unajua hilo.
Kipenzi cha moyo wangu wala usiwe na hofu kabisa.Si nilikuambia sitaki kunenepa zaidi ya hapa nilipo darln, nikisikia hivyo basi roho yangu kwatuuu..Ila nakuaminia mpnz wangu ni wivu tu unanisumbua
ACHa nifanye Ile assignment ulonipa mpnz...twenzetu tukapimzike luv for bdae tusije chelewaKipenzi cha moyo wangu wala usiwe na hofu kabisa.
Ndio muda wa kupumzika si unajua kesho kuna trip.
Love you more sweetie [emoji3590]ACHa nifanye Ile assignment ulonipa mpnz...twenzetu tukapimzike luv for bdae tusije chelewa
Love you darln mingi mingi
Kwaherini popo na bundi.Wana jamvi muwe na wakati mzr..byeeer
Sign InKwaherini popo na bundi.
0056Hrs
Sign out!